KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL
Showing posts with label HABARI. Show all posts
Showing posts with label HABARI. Show all posts

Tuesday, January 16, 2018

Diamond achagua Nchi nyingne ndan ya Afrika mashariki Kuweka Mjengo Mpya.....


Baada ya kufuta Dhana ya kusema Bongo fleva inashindwa kutumia fursa za kujiweka kimataifa zaidi na kuipeperusha bendera ya taifa nchi nyingi saana ikiwepo kuteka soko la afrika

Thursday, May 18, 2017

Staa wa Kuch kuch hota hai amefariki leo…


Kuch kuch hota hai ni moja ya movie kali kutoka Bollywood ambayo imekuwa ikipendwa sana na wafuatiliaji wa filamu za kihindi hasa kutokana na uwepo wa Waigizaji mastaa kamaShah Rukh Khan, Salman Khan, Kajol na wengine.

Sunday, May 7, 2017

WANYAMA WALIOWAHI KUGOMBEA UONGOZI KUNA WALIOSHINDA NA WENGNE KUWAPA CHANGAMOTO BINADAMU


Kwa kawaida uongozi ni dhamana kubwa wanayopewa Watu mbalimbali lakini hii ya Wanyama inaweza kukuacha hoi kidogo….. kwenye nchi za wenzetu Jamii huamua kumsimamisha Mnyama kugombea nafasi flani ya uongozi kama njia ya kuonesha kuchoka kuchagua viongozi ambao hawatimizi ahadi zao.
Leo nimekutana na hii stori kuhusu wanyama sita waliowahi kugombea na wengine kushinda  nafasi za juu za uongozi katika nchi mbalimbali duniani.

Monday, May 1, 2017

HIZI NDIO NCHI ZINAZOONGOZA KWA UBAGUZI DUNIANI KOTE..,AFRICA ZIPO



Ubaguzi wa rangi ni moja kati ya matatizo yanayosumbua dunia kwa muda mrefu na limekua chanzo cha migogoro katika nchi nyingi duniani kote ambapo kwa mujibu wa repoti yaWashington Post nchi nyingi kutoka Asia zimetajwa kuongoza kwa ubaguzi.

TEKNOLOJIA IMEKUWA SANA ANGALIA VIFAA AMBAVYO VITAKUACHA MDOMO WAZI...


Kila mwanasayansi duniani hutaka kugundua teknolojia flani ili kujijengea heshima na jina katika fani yake, lakini kuna baadhi ya vifaa vya kiteknolojia ambavyo vimegunduliwa na wanasayansi mbalimbali duniani ambavyo vimeleta gumzo na kushangaza watu wengi.
Leo May 1, 2017 nimeona si vibaya nikikusogezea teknolojia saba za kushangaza na kustaajabisha zilizowahi kutengenezwa na wanasayansi mbalimbali duniani.
1: Kiatu chenye kiyoyozi

Raisi wa China Xi amuunga Mkono Trump kupambana na Korea Kaskazini

korea
Rais Donald Trump na Rais Xi jinping
Rais wa Marekani, Donald Trump amemsifu rais wa China, Xi jinping kwa kuiunga mkono Marekani na jitihada zake za kupambana na mpango wa Nuklia wa Korea kaskazini.

Sunday, April 30, 2017

Tyson atoa tamko kusuhu maombi ya Anthony Joshua Kupanda ulingoni....



Saa chache tu zimepita tangu kumalizika kwa pambano la ndondi ambapo bondia wa Uingereza Anthony Joshua ameshinda kwa KO vs Klitschko, sasa ametaka pambano dhidi ya bingwa wa zamani wa uzito wa juu Tyson Fury.

Sunday, February 5, 2017

PART ONE;-UKWELI KUHUSU VEVO,UNIVERSAL NA UNUNUAJI WA VIEWS KUHUSIANA NA WIMBO WA DIAMOND


Kama mnavyojua kwa sasa kuna VIDEO ya Diamond inatrend na imeshika namba moja kwenye YouTube, ila watu wanashangaa kwann mpaka now ina Views ambao hawafiki hata laki tano (500,000+) ikiwa ni siku ya pili now inaelekea ya tatu imewekwa kwenye youtube.

Tuesday, October 18, 2016

HIZI NDIZO VIDEO ZILIZOTAZAMWA SANA YOUTUBE...TOP 5


Baada ya hatua kubwa kwa mziki wa Tanzania kuwa tishio kutazamwa sana YouTube kwa kasi mara tuu ya kuwekwa hasa Diamond kuweka rekod yake kwenye wimbo wake wa Kidogo aliyowashilikisha Mapacha P square kutoka Nigeria na wa Salome aliyomshilikisha Rayvanny kwenye Lebo yake ya WCB, List ya Video bora zilizotazamwa zaidi katika historia ya kuanzishwa kwa YouTube mpaka sasa  ni kama Video 40 ila mie nimekusogezea 5 bora

Monday, April 25, 2016

Baada ya kukamilika kwa mazungumzo ya Bomba la mafuta...Tanzania yalamba Mradi mwingine....

http://ichef.bbci.co.uk/news/560/media/images/76604000/jpg/_76604199_tanzania_dar_g.jpgBaada ya Tanzania kufanikiwa kuchukua mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda ambapo Bomba hilo linatarajiwa kujengwa kutoka Uganda mpaka Bandari ya Tanga na mradi huo ukikamilika utaliingizia Taifa bil 4.8 kila siku.

Sunday, April 24, 2016

VIDEO ya kifo cha Msanii Papa Wemba jukwaan


Lilikua ni tamasha ambalo linaonekana live kwenye TV ambapo mkongwe huyu wa muziki kutoka Congo DRC alikua akitumbuiza na band yake huko Abidjan Ivory Coast lakini ghafla akaanguka na kufariki muda mfupi baadae.

Saturday, April 23, 2016

VIDEO;-Mtoto wa miaka 16 Mtanzania alivyoongea mbele ya Maraisi 60 na viongozi wakubwa Duniani kwa kujiamini...


Getrude
Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mkutano wa umoja wa mataifa akiwa mwenye kujiamini na kutoonekana kuwa na hofu japo anaongea kwenye jukwaa ambalo linatazamwa na viongozi mbalimbali.

Monday, March 14, 2016

NEW AUDIO COMING SOON RAAN WAMIFANO FT DOUBLE Y.....

Baada ya kusikia kazi ya Kijana RAAN WAMIFANO kama Mifano na  Kazi nyingne iliyotayalisha na kijana Double Y.. Maeneo ya Morogoro

Wednesday, August 19, 2015

PICHA; Tegemea Collabo kati ya Alikiba na Sauti Sol,Report kamili


Siku wa kuamkia leo, Ally Kiba na Kundi kali la Muziki nchini Kenya, wamekamilisha ngoma yao mpya ambayo inategemea kutoka hivi karibuni,

Thursday, August 13, 2015

Ne-Yo kuungana na Ben Pol katika msimu mpya wa Coke Studio.

Ne-yo ni mmoja ya wasanii walikuwepo kwenye usiku wa kugawa Tuzo za MTV MAMA zilizofanyika Durban,

ALIKIBA Baada ya kuchaguliwa kwenye kipengele cha TUZO za AEA USA 2015 mashabiki wake waja juu

Alikiba ni moja ya wasanii waliotajwa katika kipengele cha New Artist of the Year katika tuzo za AEA USA 2015, Katika kipengele hicho yuko na wasanii wengine kama Chef 187,Togar Howard,Phyno,Bisa Kdei,Castro, McGalaxy, DenG, Serge Beynaud, Ally Kiba na Jodi.
Watu wengi wamehoji kwanini Ally Kiba amewekwa katika Kipengele hiki, na wengine wakisema kuwa bora Ally Kiba atolewe katika kipengele hiki.

Saturday, August 1, 2015

Kampuni iliyoongoza 2015 kwa kuuza magari mengi duniani ni....

Ni moja ya zile stori kubwa za wiki hii duniani ambapo CNN wameripoti kwamba taji lililokuwa likishikiliwa na kampuni ya Toyota ya Japan iliyovunja rekodi kwa miaka mingine, limebebwa na kampuni nyingine sasa hivi.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...