KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Saturday, March 19, 2016

The Return Of The Queen‬ LADY JAY DEE

KESHO ndio siku inayosubiriwa kwa mashabiki wa dada etu Lady Jay Dee
walioko ndan na nje ya nchi yaan Africa Mashariki na Ulimwengu kwa ujumla hasahasa wale wapenda mziki mzuri. Kama tunavyojua Dada etu ni moja ya wasanii wa kizazi kipya nchini ambaye anaweza kumiliki jukwaa na anasauti na kipaji cha kipekee. Ni msanii ambaye anaweza kusalia na kuendelea na mziki bila makundi na si mtu wa skendo ili avume....
Baada kuona kurudi kwa wengine kishindo kama Q chillar na King Alikiba sasa ni zamu ya komandoo wa kike LADY JAY DEE
Kesho na utaipakua na kuishare hapa hapa Nick 4real blog

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...