Baada ya kufuta Dhana ya kusema Bongo fleva inashindwa kutumia fursa za kujiweka kimataifa zaidi na kuipeperusha bendera ya taifa nchi nyingi saana ikiwepo kuteka soko la afrika
kwa ujumla Diamond Platnumz ameamua kujikita kujenga Nyumba kwenye Nchi ya Kagame, Rwanda
Hii Ndio moja ya post aliyoitoa
No comments :
Post a Comment