Call....0652-914141
|
Official logo |
Nickson Festo Aivan amezaliwa kijiji cha Mvumi Makulu 18 December, na kuhitimu shule ya msingi na sekondari Mvumi Makulu Dodoma kabla ya kuja Dar es Salaam mwaka 2011 na mwaka 2012 kujiunga na masomo ya chuo ngazi ya cheti chuo cha IFM Institute of Finance Management (Certificate of computer science and technology) ambapo kwa bahati mbaya hakuchukua kwa lugha rahisi alidisco akaenda kuchua certificate na diploma chuo cha CBE Collage of Business Education (Procurement and supply) na kwa sasa anachukua Degree yake chuo cha TIA Tanzania Institute of Accountancy (Bachelor of Procurement and Logistics Management) kama mungu akitupa uzima mwaka 2019.
Ukiachilia kusoma pia anajishughulusha na huduma za komputer kama:-
1. Kuuza T shirt zilizochapishwa na hambazo hazijachapishwa (Plain and Printed)
2. Photo editing
3.Logo and Label design
4. Calendar
5. Cartoon
6. Create and design Blog
Hayo na mengneyo usisite kunitafuta kwenye mitandao yote kwa jina la Nickson Ivan
Au nipigie namba 0652-914141
No comments :
Post a Comment