KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Thursday, September 8, 2022

SIMBA YAMPA UKOCHA WA MUDA JUMA MGUNDA

 


KLABU ya Simba imemteua Juma Ramadhani Mgunda kuwa kocha wake Mkuu wa muda na ataendelea kusaidiwa na Suleiman Matola.


No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...