KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Monday, June 29, 2015

MICHEZO Ujumbe wa kwanza aliopost Peter Cech baada ya kusajiliwa rasmi Arsenal

Hatimaye golikipa Petr Cech ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Arsenal baada ya kocha Arsene Wenger kufanikiwa kukamilisha usajili wa malipo ya £10million Chelsea. 

Golikipa hyo wa Czech Republic alifaulu vipimo vya afya siku ya Ijumaa asubuhi na Leo rasmi ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Arsenal

Cech amesaini mkataba wa miaka minne na Arsenal, na atakuwa analipwa kiasi cha £100,000 kwa wiki, na anaweza kuanza kuichezea Arsenal vs Chelsea katika mchezo wa ngao ya hisani. 
Muda mfupi baada ya kutambulishwa na Arsenal, Cech alitumia mtandao wa Twitter kuwaandikia ujumbe maalum kwa washabiki wa Chelsea na kuwaaga.




No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...