Rais Piere Nkurunziza kugombea kwa mara ya tatu kwenye Uchaguzi huo lakini Ratiba inavyoonesha ni kwamba Uchaguzi wa Rais utafanyika mwezi July 2015.
Leo umefanyika Uchaguzi wa Wabunge, picha zilizoenea Mitandaoni zinamwonesha Rais Nkurunziza akiwa anaelekea kupiga kura akitumia usafiri wa baiskeli.
Pembeni ya vituo vya Kupigia kura walikuwepo Askari wakiwa na silaha kuhakikisha Usalama unakuwepo. |
No comments :
Post a Comment