KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Monday, June 29, 2015

Muone mtoto wa RONALDO akiuchezea mpira kama baba ake...PICHA

Kuna ule msemo wa mtoto wa nyoka ni nyoka, kwa mtoto wa Cristiano Ronaldo iko hivyohivyo… ukimwangalia ana dalili zote kufuata njia ya baba yake kwenye soka.

Ronaldo na mtoto wake huyo ambaye kwa sasa ana umri wa miaka mitano wameonekana wakijipumzisha katika ufukwe wa Bahamas huku dogo akiwa busy muda wote  ni yeye na mpira, baba yake alikuwa pembeni pia wakiendelea kula zao good times.



Akiwa na baba ake CR7

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...