KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Sunday, February 5, 2017

PART ONE;-UKWELI KUHUSU VEVO,UNIVERSAL NA UNUNUAJI WA VIEWS KUHUSIANA NA WIMBO WA DIAMOND


Kama mnavyojua kwa sasa kuna VIDEO ya Diamond inatrend na imeshika namba moja kwenye YouTube, ila watu wanashangaa kwann mpaka now ina Views ambao hawafiki hata laki tano (500,000+) ikiwa ni siku ya pili now inaelekea ya tatu imewekwa kwenye youtube.
Tujikumbushie rekodi yake kwenye wimbo wake wa Salome alioshilikiana na Rayvan

Nahisi maswali haya na ww utakuwa unajiuliza kama mimi
-Je ni kwasababu ya account ya Vevo
-Au issue ya kununua Views inayovuma ikishuhudiwa na rafikia ake wa kitambo Ommy Dimpoz

-Au ugeni wa account ambao ya kwanza ilikuwa na subscribes 477k huku hii ya Vevo ikiwa na 7k
Soon ntaleta toleo la pili Kuhusu wanachokisema wadau sakata hili na mitandao inasemaje
Usisahau kulike PAGE yangu Nick 4real
Enjoy Hiyo VIDEO ya DIAMOND X NE-YO

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...