Moja ya kipande cha movie hyo |
Kampuni moja ya kitaliii kutoka nchini China imesema kuwa itawashtaki watengenezaji wa filamu mpya ya Transformers kwa kuvunja mkataba.
Kampuni ya Chongqing Wulong Karst Tourism Co Ltd imesema katika taarifa yake kuwa watengenezaji wa filamu hiyo wameshindwa kuonyesha lebo yao vizuri katika filamu hiyo kama
walivyoahidi.
Wanasema itafungua kesi dhidi ya kampuni ya Paramount Pictures na moja ya washirika wake kampuni kutoka China.
Paramount bado haijasema chochote mpaka sasa kuhusiana na madai hayo
chanzo amplifaya amplifaya
No comments :
Post a Comment