KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Saturday, August 24, 2013

YANGA YAANGUSHA MVUA YA MAGOLI KWA ASHANTI

Yanga kwa mara nyingine yawafurahisha mashabiki waliojaa uwanjan baada ya kuifunga ashant united mabao 5-1
kipindi cha kwanza kiliisha kwa yanga kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa bao moja lililofungwa na tegete dk ya 10 tuuu ya mchezo
kipindi cha pili mikikimikiki ya yanga ndio yaliozaa bao la msuva dk ya 48
ikifuatiwa na Tegete tena dk 58 na niyonzima dk ya 74
Dk ya 90 ashant walipata bao la kifutia machozi kupitia kwa mchezaji wao shabaan juma
Halaf Nizar akafunga goli la 5 dk ya 90
MPAKA MPIRA KUISHA
YANGA 5-1 ASHANTI UNITED
kinala wa ufingaji akiwa ni jerson tegete kwan aliwatikisa mara mbili
Tegete dkk 10, 58
Msuva dkk 48
Niyonzima dkk 74
Nizar dkk 90

Shaban Juma dkk 9
wakati huo huo simba wameshindwa kutamba kwa timu iliopanda daraja mwaka huu ya rhino ya mjini tabora baaada ya kutoka nayo sluhu ya 2-2

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...