KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Sunday, June 22, 2014

MWIMBAJI MWINGINE WA KWETU PAZURI AOLEWA PICHAZ

Katika shangwe za GK siku ya leo, tunakupa picha chache kutoka Kigali nchini Rwanda, ambako mmoja kati ya waimbaji wa muda mrefu wa kundi la Ambassadors of Christ a.k.a Kwetu Pazuri aitwaye Furaha Sandrine , jumapili iliyopita aliutambulisha rasmi ubavu wake uitwao Ngabo Karangwa Tony katika sherehe ya kulipiwa mahari na kuvishwa pete ya uchumba rasmi iliyofanyika nyumbani kwao maeneo ya Gikondo  jijini Kigali, ambapo harusi inatarajiwa kufanyika tarehe 6/7/2014 katika kanisa la Wasabato la Gisenyi na kufuatiwa na shere ya kuwapongeza itakayofanyika katika pwani ya Lac Kivu beach.

Angalia picha za tukio kwa uchache kama GK ilivyofanikiwa kuzipata.

FURAHA akiwa na waimbaji wenzake

akivishwa pete

wakitabasamu baada ya kuvishana pete

wakiionesha kwa wageni waalikwa na waliouziria

FURAHA kwa pozi

wakipokea zawadi

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...