KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Monday, May 1, 2017

HIZI NDIO NCHI ZINAZOONGOZA KWA UBAGUZI DUNIANI KOTE..,AFRICA ZIPO



Ubaguzi wa rangi ni moja kati ya matatizo yanayosumbua dunia kwa muda mrefu na limekua chanzo cha migogoro katika nchi nyingi duniani kote ambapo kwa mujibu wa repoti yaWashington Post nchi nyingi kutoka Asia zimetajwa kuongoza kwa ubaguzi.

Kwa muibu wa ripoti hiyo pia, nchi ya Afrika Kusini inatajwa kuwa nchi pekee kutoka baraniAfrika kuwa na ubaguzi wa rangi kwa kiwango cha 19.6% ikishika nafasi ya 9 kwenye list ya nchi 20 zinazoongoza kwa ubaguzi wa rangi duniani huku Libya na Misri pia zikiingia TOP 20.
Kwa mujibu wa utafiti huo wa Washington Post hizi ndizo nchi 20 zinazotajwa kuongoza kwa ubaguzi wa rangi hadi kufikia December 2016.
Chanzo millard ayo

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...