Wednesday, August 19, 2015
PICHA; Tegemea Collabo kati ya Alikiba na Sauti Sol,Report kamili
Siku wa kuamkia leo, Ally Kiba na Kundi kali la Muziki nchini Kenya, wamekamilisha ngoma yao mpya ambayo inategemea kutoka hivi karibuni,
Hapa kuna picha zilizopigwa wakiwa studio wakipika nyimbo hiyo, mpaka sasa haijafahamika jina la nyimbo na siku rasmi ya kutoka.
Cheki picha hapa chini…..
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment