Baada ya kusikia kazi ya Kijana RAAN WAMIFANO kama Mifano na Kazi nyingne iliyotayalisha na kijana Double Y.. Maeneo ya Morogoro
Kaa tayari na collabo nyingne yao. Ni collabo kali kati ya mikoa hii ya DOM na MORO siku ya Jumanne
Katika account yake ya Facebook Raan aliandika
"SAYARI YA TISA..
NGOMA ITATOKA JUMANNE YA WIKI IJAYO..
Yaani
Tar 22 MARCH..
STAY TUNED
UJUE SAYARI YA TISA INA SIRI GANI.."
Nahisi utaungana na wadau wengne kuisubir kwa hamu hii ngoma
...........SUPPORT YAKO MDAU KWA WASANII WA KIZAZI KIPYA.............
No comments :
Post a Comment