Ne-yo ni mmoja ya wasanii walikuwepo kwenye usiku wa kugawa Tuzo za MTV
MAMA zilizofanyika Durban,
Kwa mujibu wa Ghafla Kenya Ne-yo yuko mbioni
kuja kenya kwenye Msimu wa tatu wa Coke Studio.
Coke Studio kuna kipindi walitaka kumleta John Legend lakini
hawakuweza kufanikiwa, Coke Studio mwaka huu wamchukua wasanii
mbalimbali kutoka Tanzania, Mozambique,Nigeria na Uganda ambapo mmoja ya
wasanii hao ni Ben Pol kutoka Tanzania.
No comments :
Post a Comment