Alikiba ni moja ya wasanii waliotajwa katika kipengele cha New Artist of the
Year katika tuzo za AEA USA 2015, Katika kipengele hicho yuko na wasanii
wengine kama Chef 187,Togar Howard,Phyno,Bisa Kdei,Castro, McGalaxy,
DenG, Serge Beynaud, Ally Kiba na Jodi.
Watu wengi wamehoji kwanini Ally Kiba amewekwa katika Kipengele hiki, na wengine wakisema kuwa bora Ally Kiba atolewe katika kipengele hiki.
Hapa chini kuna maoni mbalimbali ya watu kuhusu inshu ambayo nimeyatoa katika page binafsi ya Msanii Ally Kiba.
No comments :
Post a Comment