KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Thursday, June 25, 2015

Video...Ben Pol Kakisimulia jinsi alivyonusurika kifo Baharini............

Ben Pol ni mwimbaji staa wa RNB kutoka kwenye Bongofleva Tanzania, alinusurika yeye na rafiki zake kwenye ajali ya Boti
 iliyozama wakiwa wanatokea kwenye kisiwa cha Mbudya, nje ya Dar es salaam kurudi Dar es salaam.
Chanzo Ayotv na millad ayo

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...