KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Friday, June 26, 2015

Video...DALADALA TOUR ALLY KIBA AKIJIBU TUHUMA ZA BIFU LAKE NA DIAMOND

Mwimbaji wa bongofleva Ali Kiba aliamua kufanya ziara ya ghafla na kuanza kupanda Mabasi (Daladala) za ndani ya Dar es salaam June 23 2015
ikiwa ni ziara ya kuwashukuru mashabiki kwa kumpa ushindi wa tuzo 6 za KTMA na moja ya Tuzo za Watu 2015.



No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...