ILE KAZI ILIYOKUWA INASUBILIWA YA ALIKIBA NA CHRISTIAN BELLA IMESHAISHA...
Ile kazi iliyokuwa inasubiliwa kwa hamu na wadau wa Tanzania na Africa mashariki imeshaisha na kwenye ukurasa wa Christian bella ameandika "Kazi imeisha @officialalikiba"
inamaana ipo mbion kutoka mkae mkao wa kula wadau..........
No comments :
Post a Comment