KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Tuesday, June 30, 2015

Diamond apokelewa kistar Nigeria

 Tumehesabu wiki chache tu zimepita toka imeachiwa hit ya Diamond Platnumz– ‘Nana’ Feat. Mr. Flavour, na tayari inafanya vizuri kwenye TV na Radio stations kubwa Afrika.

Diamond kakaribishwa Nigeria kwa mara nyingine tena, safari hii kilichompeleka ni ‘Nana Tour’ ambayo iko tofauti na tulivyozoea… watu wakisikia ‘Tour‘ mara nyingi tunafikiria kumwona staa akipiga show, ‘Nana Tour‘ ni kwa ajili ya kuutambulisha wimbo huo rasmi kwenye radio na TV kubwa za Nigeria.



Chat Software
CHANZO MILLARD AYO

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...