KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Tuesday, June 30, 2015

Picha za ajali ya gari waliyoipata Nizar Khalfan na Shaban Kado..BAHI-DODOMA

Muonekano wa gar lao baada ya ajari
Ajali imetokea Bahi Dodoma na kwenye gari miongoni mwa waliokuwemo ni pamoja na golikipa Shaban Kado na mchezaji Nizar Khalfan wa Mwadui FC na chanzo ni tairi la nyuma kuchomoka.

Kwenye interview na millardayo.com Kado amesema hakuna yeyote aliyepoteza maisha isipokuwa majeraha waliyoyapata akiwemo Shaban Kado ambaye ameumia pia mkono wake wa kulia ambapo walikua watu wanne ndani ya gari.





Chat Software
CHANZO MILLARD AYO

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...