KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Tuesday, June 3, 2014

HUU NDIO MCHONGO WA DIAMOND KUPIGA KOLABO NCHINI MAREKANI????????

Pamoja na mafanikio makubwa anayoendelea kuyapata, staa huyo anazidi kujitengeneza connection kali za kimataifa.

Picha ya juu: Diamond akiwa na Kevin Liles, meneja wa Trey Songz, Big Sean, Estelle na wasanii wengine
Katika kile kinachoonekana kuwa ni mazungumzo ya mwanzo wa safari ya kuelekea kuanza kufanya collabo na wasanii wa Marekani, Diamond amekutana na meneja wa Trey Songz, Big Sean na wasanii wengine wakubwa,
Kevin Liles.
Mmoja wa watu waliopo kwenye timu ya Diamond, Salam wa SK Entertainment, ameshare picha ambayo
Diamond akiwa na Kevin Liles na kuandika: “Don’t Ask Me Whats Next…. Please 2 Days to go… VOTE FOR @diamondplatnumz for
MTV MAMA Awards BEST COLLABORATION AND BEST MALE
Kevin akiwa na Jay Z
Kevin Liles alikuwa rais wa Def Jam Recordings na makamu mkuu wa rais wa The Island Def Jam Music Group kuanzia mwaka 1999 hadi 2004.
Kevin na Trey Songz
Pia aliwahi kufanya kazi kama makamu mkuu wa rais wa Warner Music Group kabla ya kuacha na kuwa mjasiriamali.
Ana kampuni ya menejimenti iitwayo KWL Management.

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...