KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Wednesday, June 4, 2014

Baada ya Mganga,sasa huyu mchungaji amedai anaweza kumrudisha duniani mtoto aliyefariki.



Maktaba ya Stori kutoka Idara ya Hekaheka leo ina stori kuhusu mchungaji ambaye amesema ana uwezo wa kumrudisha mtoto aliyefariki dunia,Mchungaji huyo amedai kuwa mtoto aliyefariki hakua amefariki kama walivyodhani bali yupo hai.
Ni wiki chache toka Hekaheka itoe taarifa ya mganga aliyedai pia anaweza kumrudisha mtoto aliyefariki,familia pamoja na watu wa karibu wa familia hiyo wamepata nafasi ya kuongea.
Bonyeza play kusikilizA
>>DOWNLOAD
SOURCE MILLALD AYO

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...