Wednesday, June 4, 2014
Victoria Kimani katoa dili,kama ukishinda laki 8 za Kitanzania zinakuhusu.
Mwanadada kutoka kwenye ardhi ya Kenya Victoria Kimani ametoa dili kwa wewe shabiki wake au unaefatilia muziki wake,ishu hii kaitangaza baada ya wiki chache kutoa wimbo wake wa Prokoto.
Cha kufanya ni wewe kujirekodi wakati unacheza huo wimbo we cheza staili yoyote unayohisi inafaa kwa wimbo wa Prokoto,halafu iweke kwenye akaunti yako ya Instagram kwa kuanza kwa #protoko na kumtag Victoriakwa jina la@victoriakimani.
Endapo staili yako itapita kwa kupata like zaidi na comment nyingi kuna kitita cha $500 ambayo sawa na laki nane za Kitanzania kwa Mshindi nafasi ni yako sasa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment