Tuesday, June 3, 2014
HUYU NDE ANAYESADIKIKA KUWA NI DIAMOND WA NCHIN KENYA
Akiwa bado ni msanii mchanga kabisa kwenye game lakini, miondoko yake ya muziki ndiyo inayofanya waKenya wengi kudhani kuwa huyu ndio atayekuwa Diamond Platnumz wa huko nchini Kenya, Anaitwa Iddi Hemedi, Kipaji kilichofichuliwa na producer mkongwe sana katika industry ya muziki, producer maarufu kwa jina la Tedd Josiah.
Hemedi bado ni msanii mchanga lakini, ametabiriwa kufwata nyayo za msanii maarufu, Diamond Platnumz wa nchini Tanzania, style ya hemedi inaitwa SwaRnB, moja ya style ambazo ni maarufu sana kwa wanamuziki wengi watokao nchini Tanzania(BongoFleva) na kutabiriwa kuwa ndiyo style ya biashara katika industry ya muziki hivi sasa na hapo baadae..Hii ndiyo video yake ya kwanza kabisa, video iliyotayarishwa na yeye mwenyewe Tedd Josiah, angalia jinsi Iddi Hemedi anavyofanya yake.
The post Huyu ndio msanii anayesadikiwa kuwa ndiye Diamond Platnumz wa Kenya. appeared first on Vibe Magazine TZ Tanzania.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment