Sunday, April 24, 2016
NEW VIDEO;- Mafikizolo ft Diamond Platnumz
Ni video ambayo single yake ilirekodiwa toka June 2014 Johannesburg South Afrika kwenye studio ya Oskido ambaye ni mmoja wa malegend wa muziki Afrika Kusini,
ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
Chanzo Millardayo
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment