Siku moja baada ya michezo ya robo
fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuchezwa na kushuhudia vilabu kadhaa
vikiaga mashindano hayo, usiku wa April 14 ilikuwa ni zamu ya kushuhudia
robo fainali ya michuano ya UEFA Europa league.
Miongoni mwa michezo iliyokuwa inatazamwa usiku wa April 14 ni mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Borrusia Dortmund uliyochezwa katika dimba la Anfield, mchezo huo ulimalizika kwa Liverpool kuibuka na ushindi wa goli 4-3, hivyo kuiondoa Dortmund kwa aggregate ya 5-4.
Record ya liverpool wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani. |
No comments :
Post a Comment