KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Sunday, April 17, 2016

HABARI + VIDEO; Samatta aanza kucheza dakika 90 Atupia moja

Ally Mbwana Samatta
Kwa mara ya kwanza nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Samatta akicheza dakika zote 90 na kufunga bao la uongoz kwenye timu yake ya Ubelgiji huku akiisaidia timu yake kuchomoza na ushindi wa magoli 2-1


No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...