Baada ya kumalizika kwa hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya na kushuhudia vilabu vya Atletico Madrid, Real Madrid, Man City na FC Bayern Munich vikifuzu hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo,
UEFA April 15 2016 wamechezesha droo ya timu zitazokutana nusu fainali.Nusu fainali hizi zitachezwa kati ya April 26 na 27 2016 na marudiano itakuwa ni Mei 3 na 4 2016. |
No comments :
Post a Comment