hata zile tuzo zinazotolewa za mchezaji bora wa dunia (Ballon D’or) huwa hazitoshi kuwaridhisha mashabiki wa upande mmoja kuwa kwa mwaka huu fulani ni bora zaidi ya mwenzie.
Sasa wataalam wa mambo wamekaa chini na kuja na majibu mengine, kumbe Ronaldo kazaliwa February 5 1985 na Lionel Messi amezaliwa June 24 1987 ikiwa ni tofauti ya miaka miwili na miezi kadhaa tofauti hiyo ukiibadili kwa siku Ronaldo kamzidi Messi siku 869.
Messi ana mtoto anaitwa Thiago na wa Cristiano ni Cristiano Ronaldo Jr… Hesabu nyingine ya kushangaza ni kwamba tofauti ya siku iliyopo kati ya Thiago na Ronaldo Jr, mtoto wa Ronaldo ni mkubwa kwa Thiago na amempita kwa siku 869, hii ni sawa kabisa na tofauti iliopo kati ya Messi na Ronaldo
No comments :
Post a Comment