#MorningRush #AfricanTopTen With @OfficialOlisa @Osi_Suave Np- No 9 - Chekecha Cheketua - @OfficialAliKiba
9 Retweets
Msanii mwingine wa Tanzania ambaye yuko kwenye chart hiyo ni Diamond Platnumz, wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour umekamata nafasi ya 2 wiki hii.
Hao si wasanii pekee wa Afrika Mashariki ambao nyimbo zao ziko kwenye chart, kutoka Uganda Jose Chameleone anawakilisha kupitia wimbo aliomshirikisha na Patoranking wa Nigeria ‘Only You’ ambao umekamata nafasi ya 7, huku Maurice Kirya na wimbo wake wa ‘Never Been In Love Before’ umekaa katika nafasi ya 5.
No comments :
Post a Comment