CHEKECHA YA ALIKIBA YAVUKA WATAZAMAJI LAKI MOJA NDAN YA MASAA 24
Itakuwa ni moja ya video ambazo zimependwa sana na mashabiki na wadau wa mziki nchin na nje ya nchi imetazamwa mara 103,815 ndan ya masaa 12 ila kwa sasa baada ya siku mbili au masaa 48 imetazamwa mara 176,492
No comments :
Post a Comment