Ndani ya wiki mbili zilizopita staa wa muziki toka Nigeria, Davido aliweka post ya Bendera ya Tanzania kwenye ukurasa wake @Instagram na kuweka alama ya LOVE!!
Saa chache zilizopita kaweka post nyingine kwenye ukurasa wake @Facebook, amepost picha yake na Diamond iliyopigwa wakati wanaperform kwenye stage mwaka 2014 South Africa.
“PERFORMING AGAIN LIKE THIS AT #MTVMAMA2015 !! TOO MUCH BLESSINGS…” >>> Haya ndio maneno ya Davido kwenye post hiyo
No comments :
Post a Comment