KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Friday, September 26, 2014

Vanessa Mdee, Diamond na Peter Msechu watajwa kuwania 'All Africa Music Awards 2014'


Wasanii wa Tanzania, Vanessa Mdee, Diamond Platinumz na Peter Msechu wametajwa kuwania tuzo za AFRIMA za nchini Nigeria.

Come Over imemuwezesha Vanessa kutajwa kuwania tuzo katika vipengele viwili vya Best African RnB Soul na Best Female Artist in Eastern Africa.
Peter Msechu kupitia wimbo wake Nyota na Diamond kupitia Number One wametajwa kuwania tuzo ya Best Male Artiste In Eastern Africa.
Diamond naye amepata  nafasi mbili katika kinyang’anyiro kupitia wimbo wake wa Number One unawania pia tuzo ya Best African Collaboration.

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...