Mabibi na mabwana mda wa kusubiri umekwisha, kama alivyoahidi jana kwenye ukurasa wake wa instagram kwa kusheherekea siku ya kuzaliwa Mama yake mzazi Diamond Platnumz "bi Sandra"
kuwa jana Monday 7.7.2014 atawachia video zake mbili moja ya video hizo ikiwa ni hii ya mdogo.
Kwa vile ahadi ni deni Platnumz bila hata kuchelewa ameitimiza ahadi yake.
Hiyo hapo chini
Mwe simu ya mkononi click hapo chini
No comments :
Post a Comment