Hivi sasa Shetta ameamua kufanya kweli, kama amepania flani hivi
kufunika historia aliyowahi kufanya Diamond Platnumz, Katika kutimiza
nia yake hiyo ya
kutoka kimuziki ki-international zaidi kama alivyofanya
Platnumz, ameamua kwenda hadi huko nchini Siuth Africa kuipika vyema
video yake ya nyimbo ya “Kerewa” aliyomshirikisha Diamond Platnumz.
Diamond alianza kufanya kweli na ku-change game zima la muziki baada ya
kujitoa muhanga na kutumia mamilioni ya fweza kufanya video kali nchini
humo south Africa, video ya “Mynumber1″ iliyo-make headlines sana
ki-international zaidi. Ila ujio huu wa sasa wa Shetta sidhani kama
atashikika kwenye ulimwengu huu wa muziki wa bongo fleva.
CHANZO HABARI KWANZA
No comments :
Post a Comment