Kutoka katika account yake ya Facebook
mtu mzima MABESTE amepost kitu kama ujumbe maalumu kwenda kwa Prod
Pancho pamoja na uwongozi wa Bhitz Music Group. Naunukuu kama ulivyo
“Nasikitika Pancho Latino na Uongozi
wa Bhits kwa kulalamika kua M-Rap ametumia mistari yao katika Track yake
aliyoifanya Am Records (usiende mbali) kuwa ametumia Verse alizowahi
kuandika kipindi yuko Bhits na kuamua kutoa hiyo Track yenye hiyo Verse
ambayo ni (only you remix)… sasa mbona (only you remix) waliyoitoa Bhits
ile chorus aliyoifanya Jux niliandika mimi wakat niko Bhits!! Je mbona
wao wametumia mistari yangu wakati mimi siko Bhits? Na kama issue ni
Copy n Paste au kuishiwa na idea,mbona beat iliyotumika kwenye Track
yangu ya “SIRUDI TENA” Pancho amei Copy kwenye Track ya (cheap monkey ft
chriss brown – champion)?? Je ni haki wanachofanya??
Ama wanataka kumuaibisha tuu dogo(M-rap), mbona wao pia wanazingua nao???”
#MabesteArmy!
No comments :
Post a Comment