KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Sunday, September 18, 2016

NEW AUDIO; THE BEST

Bad mcees Ni crew inayotokea Dodoma Tanzania iliyoundwa na Vichwa Vitatu mwaka 2011 Mudylee, The Wisemangangsta na Kanjawizle Baw_weezy ...Walifanya Track moja tuu kwa pamoja Mwaka 2012 iitwayo Mishe Mishe Ft Real man_zich na haikuwa official Released kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wao
Leo hii Bad mcees Wanaachia Track yao kwa mara ya kwanza Official Brand new 2016 chini ya usimamizi wa G sound rec

Song produced by Double Y and Dar es Salaam track
Song inaitwa The Best Explicit parental advisory
Cover By Logic the mcee, i hope u will enyoj
Support and share
CLICK HAPA KUIPAKUA
AU bofya chini
CLICK HAPA MDUNDO.COM
Wafuatilie MITANDAO YA KIJAMII KWA JINA LA "BAD MCEES"

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...