Trace Urban ni moja ya kituo kikubwa cha TV barani Afrika kama wewe ni mpenzi wa burudani lazima utataka kujua ni nani anatamba zaidi kwenye kituo hicho ambacho kimekuwa kikitajwa kwa ubora wa muziki wanaoupiga nimekuwekea Top 10 Afrika March 24.
10. Stonebwoy – Sheekena ft. R2bees
9. AKOTHEE FT DIAMOND – MY SWEET LOVE
8. Zero Competition -Skuki
7. Royal – Eddy Kenzo ft Patoranking
6. Wizkid – Final (Baba Nla)
5. Dj Maphorisa – Soweto Baby feat Wizkid & Dj Buckz
4. OSINACHI (Remix) – Humblesmith ft. Davido
3.YCEE – OMO ALHAJI
2. AY feat. Diamond Platnumz – Zigo Remix
1.Korede Bello ft. Tiwa Savage – Romantic
No comments :
Post a Comment