Jina la Lionel Messi sio geni duniani kote kutokana na umahiri wake na urafiki wake mkubwa na tuzo za Ballon d’Or kwa ndio mchezaji anayeongoza kwa kutwaa tuzo hizo mara tano, headlines za March 22 ni kuwa staa huyo ameamua kutanua wigo wa kipato chake.
Hii ni picha ya ramani ya mgahawa huo namna utakavyokuwa
Messi kwa kushirikiana na kaka yake Rodrigo wameandikwa kuwa wapo katika harakati za mwisho za kufunguwa mgahawa utakaoitwa Bellavista del Jardín del Norte utakuwa katikati ya jiji la Barcelona. hiyo itakuwa nafasi ya watu wao wa nguvu kupata chakula watokao nje na ndani ya Barcelona.
Hii ni picha ya ramani ya mgahawa huo namna utakavyokuwa
CHANZO millardayo.com
|
No comments :
Post a Comment