Monday, May 19, 2014
DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA KURA ZA BET AWARDS 2014, MPIGIE KURA ASHINDE
Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'
kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET
2014 ambapo anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 76.39 ya
kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.17. Tuzo hizo
zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani.
click hapa umpigie kula
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment