Mrembo binti wa mzee Abraham Sepetu aliyekuwa anagombea
Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu
katika uchuguzi huo.
Mgawanyo Wa kura uko hivi
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3.Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
No comments :
Post a Comment