Rockstar400
inayomsimamia Ally Kiba inasemekana inauza nyimbo za Diamond Platnumz
bila Kibali cha Management ya Diamond Platnumz.
Salaam- Meneja wa Diamond.
Salaam_sk moja ya mameneja wa Diamond Platnumz ameandika katika mtandao wa instagram:
"iTunes the company below as #Rockstar4000 who act as they have license
to sell the songs of my artist @diamondplatnumz on @iTunes they are
THIEVES. They don’t have any contract or any relationship with us this
is Unacceptable to let companies sell contents of the Artists without
any agreement both sides,
Wizi kwa Wasanii wetu HAUKUBALIKI. Naomba hii Kampuni ya Rockstar4000
iachane na Wizi wake wa kuuza kazi za @diamondplatnumz hatuna
makubaliano yoyote na kampuni yako kuuza Nyimbo za @diamondplatnumz
Tutakutana Mahakamani. Uvumilivu umetushinda."
No comments :
Post a Comment