KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Friday, September 12, 2014

ALIKIBA;-Mwana nilipanga nifanye na fally ipupa ila nikaogopa......soma zaid..............

alikiba asema kuwa single ya mwana ambayo aliofanyika miaka miwili iliyopita kwa man water  alipanga kufanya na msanii kutoka DRC Congo

Ila alikuja kubadili maamuzi baada ya kuona ngoma imefanya vizuri bila ya kumshilikisha fally ipupa na ikamlazimu kuandaa ngoma nyingne ambayo kasema atamshilikisha msanii hyo(fally ipupa)
namnukuu akisema "(mwana) ilikuwa nifanye na fally ipupa before lakini tulipo record na kuiona nzuri tukaona tusiharibu tunaweza nikamshilikisha kwa bahati bhaya akaharibu ndio maana nimemwandalia ngoma nyingine" alisema alikiba kupitia XXL ya clouds fm
"kwa hiyo ilikuwa imeandaliwa beat lakini sasa kwa utamu uliokuwa umezidi mle ndani mpaka tukaogopa fally ipupa asije akatotea au akapoteza zaidi,lakini sikufikiria hlo,cha muhimu nilichofikiria ni kwamba ukiona nyimbo imekuwa nzuri iache hivyohvyo halafu nitafute nyingne"

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...