Monday, August 18, 2014
PATA HISTORIA NDOGO YA UGONJWA WA EBOLA...
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ndio nchi ya kwanza barani Afrika ambako homa ya Ebola iligunduliwa. Mwaka 1976, homa hiyo iliwapata watu wengi katika kijiji cha Yambuku ambako kunapita mto wa EBOLA, na ikathibitishwa kwamba homa hii inaambukizika kwa binadamu kupitia ulaji wa wanyama pori. Pamoja na hayo, na licha ya kuzuka tena homa ya Ebola magharibi mwa bara la Afrika, baadhi ya watu nchini Congo wanafikiri maradhi ya Ebola ni uongo mtupu.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment