KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Sunday, June 22, 2014

KUMEKUCHA UPANDE WA FROLAH MBASHA WADAU WATOA MAONI YAO WAPO WANAOMPONDA NA WENGINE KUMTIA MOYO....

Lile sataka la kubaka linalomkabili mume wa mwanamuziki maafuru wa nyimbo za dini – Flora Mbasha limechukua....
sura mpya baada ya hapo jana mwigizaji na mwongozaji maarufu wa filamu nchini William Mtitu kuamua kufunguka haya juu ya mwanamziki huyu.
Hatutaki kukupotezea muda, jisomee mwenyewe hapo chini kasha “utafakari”.

Huku akiwa ameweka picha hiyo hapo juu ya Flora Mbasha na mumewe Mtitu alinzanza kwa kuandika…

“Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya frola mbasha kuna kitu nakiona kinejificha lakini sasa hivi kimeshajitokeza tayali.....hicho kitu ndicho kilichompeleka jera mbasha na asipokuwa makini anaweza asiwe uraiani tena kama ulivyowatokea familia ya nguza .namaanisha mzee nguza na papii kocha wako wapi? Kiukweli frola una roho mbaya ya mwisho kabisa ilichanganyika na ukatili wa mwisho kabisa kiasi kwamba nashindwa kuelewa umeokoka nn ww ? Eti umemrudia YESU ?YESU yupi huyu nnaemwabudu mm au una YESU wako ww na HUYO GWAJIMA wako? Leo umemsahau Mbasha ww ? Wakati alikuokata umechakaa wakati mbasha dereva teksi leo wataka kumfunga ili iwe nn sasa mbasha akifungwa utapata faida gani ww? Huyo mtoto akija kukuuliza baba yuko wapi utamwambiaje? Fine unaweza kujikaza ukamwambia yuko jela je akikuuliza nani alimshitaki utajibu nn ? Pia waweza kujikaza ukawataja hao wasichana mliowapandikiza je akiuliza ww ulifanya jitihada gani baba asifungwe utasemaje? Hapo auna jibu Acha roho mbaya NENDA KAMTOE MARA MOJA NA MWENDE NYUMBANI MKAONGEE KAMA FAMILIA TWAJUA UWEZO HUO UNAO ILI NA YEYE ATAFUTE HAMSINI ZAKE KAMA WW ULIVYOAMUA KUJISALIMISHA KWA GWAJIMA. USIJE UKASHANGAA WATU WAKASUSIA KAZI ZAKO ZOTE. GDAY.”
Baada ya mtitu kutoa yake na wadau wengne hawakuwa nyuma kusema wanachokijua wao na wakiaminiacho kutokana na kesi inayomkabili mme wa mbasha ya kubaka shemejie
Margareth Sekiete
Kwel bana c tupo kwenye ndoa miaka kumi sasa hakuna kikumbwa hapo kama unampenda mumeo mambo hayo yanaisha chumban tena wala suo sebulen..
Muna Andrew
 dah ni mambo ambayo bado hayaeleweki bt Kwa mtu aliyeokoka anapaswa kumshirikisha mungu pamoja viongoz wake wa din ili waweze kumsaidia kiushaur na hat mawazo bt kwa flora mambo yanaenda haraka xan hiv HOFU YA MUNGU IPO KWELI DUNIANI AU NDO YA MAGAID IMEJAAA
Leopard Maturo
principle of natural justice lazima itumike, huwezi muhukumu mtu kabla ama bila ya kumsikiliza waa usitumie post za watu kufikia hukumu, huenda mbasha ndiye mbaya ama flora huwezi jua but kama alifanya ilo kosa lazima haki itendeke na flora atakuwa hajafanya mbaya kuripoti uhalifu huo kwa mahakama
 Lucas Fidelis 
Naogopa kuoa coz ipo siku atasimama mahakamani na kutoa ushahid wa kuni kandamiza. Siogop kua na mpenz anae nijal nakunitetea mbele ya adui.
Mwanangu akikuliza niko wapi mwambie nilibaka ukatoa ushahid wakunifunga. Mwambie pia ulikua nafuraha mbele ya kamera kuelezea mambo yetu ya ndani na kumihusudu bosi wako. Mwambie asiende kanisani kama hana imani ya kweli. Pia mwambie kua ile teksi niliyo kubeba haipo tena.
Dedicate this msg to Emanuel Mbasha. Delila alimnyoa nywele samson baada ya kulaghaiwa na wewe umelaghaiwa.
 NIKIAMINIACHO NICK ni;-
tumeubwa binadamu na makosa hakuna aliekamilika jaribu kusamehe 7 mara 70 maana sehemu nyingne hazifai kumpereka sio mke/mme wako mpaka rafiki yako wa karibu maana sie tumemtenda mungu dhambi nyingi ila katuacha hai na katusamehe
POLE MR.EMANUELLY MBASHA

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...