mr&miss |
Baada ya stori nyingi kuzagaa kuwa mwigizaji na mpenzi halali wa mwanamuziki wa bongo fleva Diamond Platinumz – Wema sepetu kuwa yu mjamztio wa wiki 7 na mimba ya msanii huyo, hatimaye leo hii mwanadada Wema ameamua kufunguka “exclusively” kwenye mtandao mmoja wa kijamii na kujibu habari hizo akisema haya yafuatayo kama tunavyomnukuu hapo chini…
“Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant(mjamzito).... sijui watu wanatolea wapi... Im NAT(NOT)... Dah... I wish I was... But im nat wapenzi wangu..”
Akimaanisha kuwa yeye sio mjamzito ila anatamani sana sana awe na ujauzito huo lakini kwa sasa yeye bado.!
No comments :
Post a Comment