Msanii wa kundi na kampuni ya Weusi, Nick wa Pili ameweka wazi kuwa siku
za hivi karibuni itafahamika hatima ya Lord Eyes aliyesimamishwa
kutokana na kukiuka maadili na sheria za kundi.
Weusi
Nick aliweka
wazi hilo alipokuwa akichat katika ukurasa wa Facebook wa EATV alisema
kuhusu hatima ya msaniii Lord Eyes ambae alisimamishwa katika kundi hilo
na kudai atarudishwa soon. “Lord Eyes soon atarudi weusi maana sisi
kama weusi kwa pamoja ni kampuni,hivyo weusi ni mtu 5 kama memorandam ya
kampuni inavyo sema,” alisema.
Weusi walimsimamisha rapper huyo
No comments :
Post a Comment