Ile video ya Mb Dogg ‘bado umenuna’ ndio imetoka, itazame hapa
Ukamilifu wa video hii ambayo picha zake niliziweka hapa wiki chache
zilizopita ni huu hapa japo video hii ilikamilika wiki kadhaa nyuma
lakini walikua wakisubiri muda sahihi wa kuitoa,
KAMA HAUJAIONA >>>CLICK HAPA
No comments :
Post a Comment